Épisode 5: La prophétie de la tante
Le talisman brisé: le podcast en français-kiswahili - Un pódcast de Français Facile - RFI

Categorías:
Kwame ni mtunza bustani wa Gorom-Gorom, Burkina Faso. Bosi wake, Profesa Sekou Omar, alitekwa nyara akishuhudia. Katika purukushani hizo, hirizi yake ikavunjika. Kwame anaaza kumtafuta Omar, ambaye anataka kuifanya upya jangwa iwe ya kijani tena. Ni nani aliyemteka? Utekaji nyara na hirizi ya maajabu vinahusiana na hadithi ya shangazi wa Kwame? "Sikiliza upepo, hii ni Sahara inayolia. Inataka kuwa ya kijani. Siku moja, atatokea mtu mmoja. Atayapa uhai majani na miti.