Épisode 21: On reste derrière toi !
Le talisman brisé: le podcast en français-kiswahili - Un pódcast de Français Facile - RFI

Categorías:
Je, Kwame atafanikiwa kuepuka operesheni ya polisi ili kumuokoa "mtu mwadilifu na mwema"? Ni usiku sasa, mahali panapofungamana, ndipo ambapo tukio la mwisho litafanyika! Watu wa Fendjougou wana silaha, polisi pia, pesa za kulipia kuachiwa kwa mateka zipo tayari: Yuro 100,000 ambazo zinaweza kusababisha tamaa nyingine ...