Épisode 17: Le quatrième e-mail du professeur Aboubakari

Le talisman brisé: le podcast en français-kiswahili - Un pódcast de Français Facile - RFI

Categorías:

Mbio za  kumuokoa Profesa Omar zinashika kasi. Watekaji wake wanatishia kumuua ikiwa hawatapata fidia. Kwame na Nathalie wanafuatilia dalili mafrofesa feki Aboubakari na Kouada. Je, wana uhusiano na mtu huyu asiyeeleweka, Fendjougou anayejulikana kwa biashara mbalimbali?

Visit the podcast's native language site